blog_img

May 10, 2025

Msanii Amber Lulu akiperfom kwenye stage siku ya uzinduzi

Msanii Amber Lulu akiperfom kwenye stage siku ya uzinduzi wa Angle Pub, Goba A Mbezi, show ilikuwa ya kibabe yaani full vibe la Amber Lulu, karibu kila ijumaa show kali za wasanii zinafanyika Angle Pub, tupo Goba A , karibu na posoa posoa Hardware , Mtaa wa Jangwani

comments ( 0 )

Andika Maoni