May 10, 2025
Kushoto ni Mc Baby,P Mawenge,Beka Title siku ya uzinduzi wa Angle Pub , Goba A Mbezi kabla ya kupanda kwenye stage
May 10, 2025
Msanii Beka Title pamoja na Mc Baby kutoka BOB Micharazo kwenye stage # siku ya uzinduzi wa Angle Pub
May 10, 2025
Mc Baby kutoka BOB Micharazo akiperform kwenye stage siku ya uzinduzi wa Angle Pub, Goba A Mbezi, Mc Baby anakuwepo kila ijumaa ndani ya Angle Pub
May 10, 2025
Hapa ni Msanii Amber Lulu kwenye stage ya Angle Pub, Kwa show za kibabe kila weekend tembelea Angle Pub, Goba A ,karibu na Posoa Posoa Hardware
May 10, 2025
Msanii Amber Lulu akiperfom kwenye stage siku ya uzinduzi wa Angle Pub, Goba A Mbezi, show ilikuwa ya kibabe yaani full vibe la Amber Lulu, karibu kila ijumaa show kali za wasanii zinafanyika Angle Pub, tupo Goba A , karibu na posoa poso
May 05, 2025
Ni Siku Ya uzinduzi Jumapili Tarehe 4 @angle_pub UZINDUZI ULISINDIKIZWA NA SHOW KUBWAToka Kwa:-@iamamberlulu @zaiidyao @pmawenge@beckatitle_tz @godsonkhalifa12&nb