May 10, 2025

Kushoto ni Mc Baby,P Mawenge,Beka Title siku ya uzinduzi

Kushoto ni Mc Baby,P Mawenge,Beka Title siku ya uzinduzi wa Angle Pub , Goba A Mbezi kabla ya kupanda kwenye stage 

May 10, 2025

Msanii Beka Title pamoja na Mc Baby kutoka BOB Micharazo kwenye stage

Msanii Beka Title pamoja na Mc Baby kutoka BOB Micharazo kwenye stage # siku ya uzinduzi wa Angle Pub 

May 10, 2025

Mc Baby kutoka BOB Micharazo akiperform kwenye stage

Mc Baby kutoka BOB Micharazo akiperform kwenye stage siku ya uzinduzi wa Angle Pub, Goba A Mbezi, Mc Baby anakuwepo kila ijumaa ndani ya Angle Pub

May 10, 2025

Amber Lulu kwenye stage ya Angle Pub

Hapa ni Msanii Amber Lulu kwenye stage ya Angle Pub, Kwa show za kibabe kila weekend tembelea Angle Pub, Goba A ,karibu na Posoa Posoa Hardware

May 10, 2025

Msanii Amber Lulu akiperfom kwenye stage siku ya uzinduzi

Msanii Amber Lulu akiperfom kwenye stage siku ya uzinduzi wa Angle Pub, Goba A Mbezi, show ilikuwa ya kibabe yaani full vibe la Amber Lulu, karibu kila ijumaa show kali za wasanii zinafanyika Angle Pub, tupo Goba A , karibu na posoa poso

May 05, 2025

Siku ya uzinduzi @angle_pub

Ni Siku Ya uzinduzi Jumapili Tarehe 4  @angle_pub UZINDUZI ULISINDIKIZWA NA SHOW KUBWAToka Kwa:-@iamamberlulu @zaiidyao @pmawenge@beckatitle_tz @godsonkhalifa12&nb